MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Huyu mavugo naona kweli hapa bongo anapigwa misumari mbona nje anafunguka?
 
Dakika ya 89 Simba watapata goli na kufuzu kuingia hatua inayofuata
 
Simba bye bye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hah hah hawa waarabu naona mbinu yao ni kujiangusha! Vipi mechi itakwenda mpaka Dakika ya 90 +5 ikijumuisha na za majeruhi.
 
wametoka
wametoka daah..ila matni angepita angeongea sana..
 
Kwaherini Simba mabao mawili ya ugenini yamewagharimu, tukutane siku nyingine tena



Asanteni kwa kushiriki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutoka ni kutoka tu...pamoja na kile kitimu kibovu ila ndo hivyo kimewatoa Thimba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…