MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Ila ki ukweli kwa dakika 20 za mwishoni simba wamepambana kiume!
 
Tumepambana Sana ata tuktoka tunatoka kishujaa
Hayo maneno yetu ya kila siku watanzania. Tunatolewa kisha tunajipa moyo kuwa tumetoka kishujaa au kiume na wakati huo tunatolewa kwenye mashindano
 
Kifupi ni kwamba simba na yanga kama zingetumia viziri viwanja vya nyumbani uwezekano wa kufuzu hii hatua ulikuwa mkubwa ila wote wametumia vibaya uwanja wa nyumbani hili ni funzo kwa mabingwa mara 27 wa tz bara yanga wanapoenda shirikisho watumie vema uwanja wa nyumbani YANGA MBELE DAIMA
 
Sisi wa Azam FC toka Chamazi shamba tunawapongeza wakongwe wa Msimbazi kwa kujitahidi .
 
Hayo maneno yetu ya kila siku watanzania. Tunatolewa kisha tunajipa moyo kuwa tumetoka kishujaa au kiume na wakati huo tunatolewa kwenye mashindano

Ila ki ukweli kwa dakika 20 za mwishoni simba wamepambana kiume!

wamepambana kiume!!
ONLY IN TANZANIA utakuta haya maneno, mtu katolewa mashindanoni kwa kufungwa halafu tunajifariji na huu msemo.. 'kifo hakina jinsia nyie, kama kutolewa mmetolewa'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…