OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Simba...."Nguvu moja"Safi sana Mkuu Simba anastahili pongezi za Dhati kabisa Aiseee
Ulikuwa unaota bila shaka.....haya amka kawapokee wenzako kwa shangwe uwanja wa ndege.Dakika ya 89 Simba watapata goli na kufuzu kuingia hatua inayofuata
Ndio mmetoka asanteni kwa kushiriki, hampandi ndege tena hadi siku nyingine hukooooKwa hiyo tumetoka?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulikuwa unaota bila shaka.....haya amka kawapokee wenzako kwa shangwe uwanja wa ndege.
Hamtoki ila mnatolewa?Kwa hiyo tumetoka?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Hamtoki ila mnatolewa?
Utamaduni huu kama tim zote mbili zitauchukulia vizuri zitaona matunda yake.namaanisha simba wacheze sana ili yanga waaibike au yanga wacheze sana ili simba waaibike na mwisho wa siku watu hawa hupanda gari moja kurudi nyumbani na wengine huingia nyumba moja mi naona uendelee kama hamasisho ila usilete chukiTukiendelea kushabikia wapinzani taifa kisa ya usimba na uyanga tutaishia hivihivi mmoja anarudi shirikisho mwingine anarudi k.koo
Aisee mmmhNdio mmetoka asanteni kwa kushiriki, hampandi ndege tena hadi siku nyingine hukoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo umeme haujakata na mvua hamna kuleMm nawachukia TFF na Tanesco
Wapuuzi wakubwa hao
Hii game tungeimaliza Dar
sawa, sisi bado tunapanda ndege...tupo kombe la shirikisho nyie byebyeAisee mmmh
Ss kati ya sisi na nyie nani ana afadhali
Hatujafungwa ugenini sisi
Nyie je
Na ndo chuki za kijinga tu sababu ni mpinzani wa Yanga
Raundi ijayo mtakutana na Wydad CasablancaKwa hiyo tumetoka?!
Khaaa we jamaaaAl Masry msituangushe