Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Yaani taarifa nilizozipata wakati Mwandishi wa Azam anasimulia leo kiukweli kusubiria Simba day ni mbali na parefu sana.
Vijana japo wana siku ya 4 lakin wanatandika pasi sio kawaida, timu haimtegemei mtu mmoja kama wale wehu wanaomshangilia kilema Chama.
Simba sasa inacheza kitimu, teamwork.Akitoka Lakred anaingia Salim, akitoka Kijiri anaingia Kapombe, akitoka Valentine anaingia Tshabalala, akitoka Che Malone anaingia Kazi, akitoka Chamou anaingia Hamza, akitoka Okajepha anaingia Kagoma, akitoka Mutale yuko Kibbu, akitoka Debora anaingia Mavambo, akitoka Mukwala anaingia Funga Funga, timu limesheheni watu wa atari.
Laiti kama tutakuwa wamoja na kuweka maslahi ya timu mbele, yoyote akae mbele.