Misri kuwa mwenyeji wa mkutano wa dharura wa Waarabu Cairo, mnamo Machi 4 kujadili ujenzi mpya wa Gaza bila ya Wapalestina kuhama

Misri kuwa mwenyeji wa mkutano wa dharura wa Waarabu Cairo, mnamo Machi 4 kujadili ujenzi mpya wa Gaza bila ya Wapalestina kuhama

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

CAIRO (AP) - Misri inasonga mbele na mpango wa kuijenga upya Gaza bila kuwalazimisha Wapalestina kutoka nje ya eneo hilo kujibu pendekezo la Rais Donald Trump la kuhama eneo hilo ili Marekani ichukue hatamu.

Gazeti la serikali ya Misri la Al-Ahram lilisema pendekezo hilo linataka kuanzishwa kwa "maeneo salama" ndani ya Gaza ambapo Wapalestina wangeweza kuishi hapo awali wakati makampuni ya ujenzi ya Misri na kimataifa yakibomoa na kukarabati miundombinu ya eneo hilo.

Maafisa wa Misri wamekuwa wakijadili mpango huo na wanadiplomasia wa Ulaya pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za Kiarabu, kwa mujibu wa maafisa wawili wa Misri na wanadiplomasia wa Kiarabu na Magharibi. Pia wanajadili njia za kufadhili ujenzi huo, ikiwa ni pamoja na mkutano wa kimataifa kuhusu ujenzi wa Gaza, mmoja wa maafisa wa Misri na mwanadiplomasia wa Kiarabu alisema.

Viongozi na wanadiplomasia hao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina kwa sababu pendekezo hilo bado linajadiliwa.
===============
CAIRO (AP) — Egypt is developing a plan to rebuild Gaza without forcing Palestinians out of the strip in a counter to President Donald Trump’s proposal to depopulate the territory so the U.S. can take it over.

Egypt’s state-run Al-Ahram newspaper said the proposal calls for establishing “secure areas” within Gaza where Palestinians can live initially while Egyptian and international construction firms remove and rehabilitate the strip’s infrastructure.

Egyptian officials have been discussing the plan with European diplomats as well as with Saudi Arabia, Qatar and the United Arab Emirates, according to two Egyptian officials and Arab and Western diplomats. They are also discussing ways to fund the reconstruction, including an international conference on Gaza reconstruction, said one of the Egyptian officials and an Arab diplomat.

The officials and diplomats spoke on condition of anonymity because the proposal is still being negotiated.

SOURCE AP. 👇🏽

Egypt is developing a plan to rebuild Gaza without forcing Palestinians out of the strip in a counter to President Donald Trump’s proposal to depopulate the ter… Source: AP News search.app

View: https://x.com/currentreport1/status/1891893382902943769?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hao Egypt hawawezi wakawahitaji wapalestina kwani walimuua rais wao marehemu Gen Anuar Saddat mwaka 1981 wakishirikiana na dikteta Muamar Gadaffi wa Libya.

Hivyo wako radhi wachangie tu ujenzi wa Gaza ilimradi wapalestina wabaki hukohuko Gaza na waarabu wengine msimamo wao ni huohuo.
 
Wewe hujui lolote kuhusu Misri. Ngoja nikupe darsa kiduchu Aliyemuuwa Sadat ni Mwanajeshi wa Misri wala siyo Mpalestina anaitwa Khalid al-Islambul. Alikuwa afisa wa jeshi la Misri almpiga risasi Anwar Sadat, kwa kuingia mkataba Camp David , huyu ni shujaa wa Misri mpaka kesho.
 
Kitu hujui ni kwamba huyo Istambul alitumika tu kama yule mlinzi aliyemuua Laurent Kabila.

Please be informed accordingly.
 
Kitu hujui ni kwamba huyo Istambul alitumika tu kama yule mlinzi aliyemuua Laurent Kabila.

Please be informed accordingly.
Hujui lolote wadanganye walokole wenzako😂
 
Wara
Hao Egypt hawawezi wakawahitaji wapalestina kwani walimuua rais wao marehemu Gen Anuar Saddat mwaka 1981 wakishirikiana na dikteta Muamar Gadaffi wa Libya.

Hivyo wako radhi wachangie tu ujenzi wa Gaza ilimradi wapalestina wabaki hukohuko Gaza na waarabu wengine msimamo wao ni huohuo.
WAARABU asa Misri wanajua ikiwa tutashiliki au kushiliki kwenye Zambi ya kuwanyang.anya Wapalestina Ardhi yao basi nao Yatawakuta!!!!!

mana si Wameamini kweli Kuwa Israel ina haki kwenye Ardhi yote ya Palestina Basi mazayuni bado wana kisasi cha kupelekwa UTUMWANI uko MISRI

lkn ardhi ile ya Palestina changanya yote Bado ndogo kwaamaana uko mbele Wazayuni Wataanza upya chokochoko na Misri

ivyo ivyo na Jordan kama ilivo tayali wamechukua Syria na Lebanon kwaiyo WAARABU Wameacha Unafiki wao wameona Hatari inayowanyemelea

ndio mana kimya kimya pengine Misri inatoa misaada ya kijesh apo GAZA

kuudwa kwa PALESTINA manake ndio kushindwa kwa Marekan i+ ISRAEL kwenye mipango yao ya kuunda Nchi ya Israel kubwa zaid kwenye eneo ilo!!!!

Mzozo wa Tramp unaweza kupelekea Misri na Waraabu wengine Waungane na Iran kwenye Mzozo huuu kitu ambacho ni Hatari kubwa kwa Israel na Uwepo wake ktk Eneo ilo!!!!!!

Huu mzozo sio mdogo kwasasa Tramp akune kichwa vizuli tena atulie

Akili ya Tramp kwa Ulokole wake kaona aungane na Putin Amwachie kule Ukraine yeye nae Putin amuunge mkono kimyakimya Apo GAZA

lkn mzozo unaenda isambalatisha Marekani kwenye eneo la mashariki ya kati Pengine Tramp ajui kile kitatokea WAARABU wakiungana na IRAN !!! Israel kwaheri ya milele!!!
 
Back
Top Bottom