Misri: Msanii wa kike aliyeonekana kwenye video ‘akila ndizi kwa mbwembwe’ akamatwa na polisi

Huo ulaji wa Ndizi kiukwel unatia hamasa
 
Inapendeza
Kukaa kaaa kihasara hasara,na uvaaji wa kihasara hasara
unatakiwa kupigwa vita sana hasa kwa nchi zetu hizi ambazo hakuna ulazima wowote wa kuvaa hivo...

sheria na kanuni za nchi lazima zifatwe... demorasia isizidi mipaka
Kuvaa na kukaa kifaida faida ni kupi?
Mipaka ya demokrasia ni ipi?

Haya ni mawazo na akili za kijinga. Wewe mtu akitembea uchi unaumia nini?
 
Ovyo tu tatizo uarabuni haki ya mwanamke imebanwa sana yaani
 
Kuvaa na kukaa kifaida faida ni kupi?
Mipaka ya demokrasia ni ipi?

Haya ni mawazo na akili za kijinga. Wewe mtu akitembea uchi unaumia nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nmecheka hadi basi.
Asubuhi njema mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa hiyo si 'blow job' !? Anaongeza na VAT 69 !
Huwezi endekeza mambo hayo katika nchi ya watu wenye hofu ya Mungu.
 
Madona alikuwa akiwarushia mafans wake chupi aliyovaa jukwaani !
 
Safi...tabia ya kuwafedhehesha kihisia kaka na baba Zetu sio njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…