Misri: Msanii wa kike aliyeonekana kwenye video ‘akila ndizi kwa mbwembwe’ akamatwa na polisi

Akili zao zinafanana na serikali ya Tanzania. Basi wawakamate na wauza ndizi wote, maana wao ndio waliomuuzia.
Akili zako sawa tu na Shyma, wauza ndizi hawakumfundisha jinsi ya kula, na hakuuliza inaliwaje.
 
sasa wametamani kwanini kula ndizi tu ...wafungwe hao waliotamani sasa
 
Muziki wa enzi hizi bila kuweka viashiria vya ngono kwenye mashairi na video wasanii wanaona bado hawajaimba
 
atiwe tu adabu utamaduni wa kuamsha amsha madude bila sababu haupo nchi za kiislam..hiyo ndizi akainyonye tu chumbani kwake
Hhahahaaa, kuamsha amsha madude au siyo!, waarabu wana genye sana....
 
Wengine hizo mambo wanazisikia tu halafu yeye anakula ndizi kama ananyonya dudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…