Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kawaida hayo, Tanzania ina same project ya new government city Dodoma na gharama yake ni billions of dollars lakini sio kwamba inajengwa wote, upo kwa phases ila mpaka ukamilike ndio hiyo pesa itakua imetumika
The same to Egypt
Kwani kusoma ata Kichwa cha habari kazi? Au tazama Video? Huu sio mradi wa Kenya!Wewe don't flip the coin Hiyo ni nusu pesa mliyopigwa kifisadi na mikataba mibovu mliyoingia, na madeni mliyonayo hamtaweza kuilipa mileleeee sababu kila kitu Kenya kimeuzwa
Kwani wewe umesoma ukaelewaje, tuanzie hapoKwani kusoma ata Kichwa cha habari kazi? Au tazama Video? Huu sio mradi wa Kenya!
Sijui alishaona wapi mji unajengwa siku moja, Dubai na Qatar pamoja na mapesa yote ya mafuta na gas lakini satellite cities zao wamejenga kwa makumi ya miaka, itakua Egypt ijenge kwa mpigo!Huyu mtu wa Turkana njaa inamsumbua
Mambo ya kawaida hayo, Tanzania ina same project ya new government city Dodoma na gharama yake ni billions of dollars lakini sio kwamba inajengwa wote, upo kwa phases ila mpaka ukamilike ndio hiyo pesa itakua imetumika
The same to Egypt
Na nyinyi na Umasikini wenu unafikiri kuifikia Kenya Ni Ni miaka kumi kweli? Itawachukua zaidi ya miaka 100Sijui alishaona wapi mji unajengwa siku moja, Dubai na Qatar pamoja na mapesa yote ya mafuta na gas lakini satellite cities zao wamejenga kwa makumi ya miaka, itakua Egypt ijenge kwa mpigo!
Mzee akiwa Katavi hivi karibuni kasema sie non watatu Kiuchumi barani AFRICA
Sasa Egypt ya ngapi?