Misri sio wenzetu, wako mbali sana, wana mradi ambao utagharimu hela kiasi cha uchumi wa muungano wa Tanzania yote

ha ha ha Ngoja watoke kanisani upate majibu
 
Mambo ya kawaida hayo, Tanzania ina same project ya new government city Dodoma na gharama yake ni billions of dollars lakini sio kwamba inajengwa wote, upo kwa phases ila mpaka ukamilike ndio hiyo pesa itakua imetumika

The same to Egypt
 
Wewe don't flip the coin Hiyo ni nusu pesa mliyopigwa kifisadi na mikataba mibovu mliyoingia, na madeni mliyonayo hamtaweza kuilipa mileleeee sababu kila kitu Kenya kimeuzwa
 
Huyu mtu wa Turkana njaa inamsumbua
 
Wewe don't flip the coin Hiyo ni nusu pesa mliyopigwa kifisadi na mikataba mibovu mliyoingia, na madeni mliyonayo hamtaweza kuilipa mileleeee sababu kila kitu Kenya kimeuzwa
Kwani kusoma ata Kichwa cha habari kazi? Au tazama Video? Huu sio mradi wa Kenya!
 
Na hiyo si ndo ela inayoshikiliwa na familia zisizozidi 10 Kenya.. ...nyie jipeni moyo tu mmeendelea kumbe mnapigwa n.a. wachache....wajinga ndo waliwao
 
Mambo ya kawaida hayo, Tanzania ina same project ya new government city Dodoma na gharama yake ni billions of dollars lakini sio kwamba inajengwa wote, upo kwa phases ila mpaka ukamilike ndio hiyo pesa itakua imetumika

The same to Egypt
Mnaandikishwa kupiga kura Cha nguvu huku upinzani ukikandamizwa kisiasa๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Nchi ya viwonder mnachekesha....Yani Kuna Nchi inajenga mji moja tu sawia na uchumi wa Nchi yenu? Nyinyi Ni bure kabisa
 
Sijui alishaona wapi mji unajengwa siku moja, Dubai na Qatar pamoja na mapesa yote ya mafuta na gas lakini satellite cities zao wamejenga kwa makumi ya miaka, itakua Egypt ijenge kwa mpigo!
Na nyinyi na Umasikini wenu unafikiri kuifikia Kenya Ni Ni miaka kumi kweli? Itawachukua zaidi ya miaka 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ