Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Huko Botswana inaonekana vijana wamezidi kupewa nafasi kwenye masuala ya uongozi.
Lesego Chombo, aliyewahi kuwa Miss Botswana, ameteuliwa kuwa Waziri mpya wa Masuala ya Jinsia na Vijana nchini Botswana.
Soma pia: Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana
Chombo, ambaye sasa ndiye Waziri mwenye umri mdogo zaidi katika baraza la mawaziri la Duma Boko, amesema kuwa anajivunia nafasi hii na anapanga kujitolea kwa dhati katika kuimarisha ustawi wa vijana na kuboresha usawa wa kijinsia nchini.
Uteuzi wake ulifanyika Novemba 11, 2024, na unachukuliwa kama hatua kubwa kwa vijana nchini Botswana kupata uwakilishi katika ngazi za juu za uongozi.