si hayo ya kugombania mume, wakati sisi waume tupo kibao....
kwani hujui mume wa mtu maziwaHuyo miss chagga uliye singo ndo umuulize anatafuta nini kwa mume wangu mabachela wamejaa tele
shem sijapona ujue mbona mwanipa pressure
shem sijapona ujue mbona mwanipa pressure
mtindi au fresh?kwani hujui mume wa mtu maziwa
sikio na jinomimi hata sikupi presha, kwani waumwa nini? maana sikuwapo ....
sikio na jino
mtindi au fresh?
kidogo afadhalivyote .kwa mpigo....? pole ila waendeleaje....?
owkey...fresh yanaondoa sumu
kidogo afadhali
Sie mashaangazi ni bendera mara zote,
Ili mradi usisahau kitenge cha uganda.
Miss chagga alimuludisha mmeo?Pliz miss chagga najua mume wangu Ntuzu yupo kwako. Unaona raha gani kukaa na mume wa mtu huku mi mkewe nateseka peke yangu? Mwanangu romantic eyes karibia chuo kinafunguliwa baba haonekani.....sijui hata kwa kupata nauli. Nitumieni bas hata kwa Tigo-pesa aisee...
Au ngoja nimwambie First Born aokoe jahazi manake aibu hii
Jamaa ananivunja mbavu[emoji23][emoji23][emoji23] pacha na wewe umeamua kuunga mkono juhudi?