Miss Chagga, Hii ni kitchen party yako


Mungu akupe kweli mme unaemuitaj.
 
Utajuaje kama ndiyo wewe sasa;
Usiumie bado endelea kusugua magoti, Bwana atajibu maombi yako.

Huku niliko nimeamua kukata tiketi nije nimuone uso kwa uso nijue moja NDIYOOO AU HAPANAAA!
 
amu ameadimika
Ni kama naye alikuwa kwenye bunge la katiba.

Nimetoka kwa bunge la katiba now nipo kwenye bajeti.
Baada ya hapa bunge la kawaida yaani may be October ndo ntakuwa free.
Mwee huyu miss chagga inabidi aache ukorofi kuna siku nlimkuta anamdunda njemba humu mpaka nikashangaa.
Afu sijui kale katabia chake ameshakiacha
 
Last edited by a moderator:

Katabia kapi tena? Ukiona nampiga njemba humu ujue anajifanya kuijua hela kuliko mimi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…