Avemaria aksante sana mama... hata wewe unafaa...nakupendekeza
Go sis goooooooooo....... Yaan mie nitakuwa mstari wa mbele katika kampeni! Lazima taji lirudi nyumbani
Swahiba mie nakuachia wewe uwakilishe. Mimi humo ntakuwa kituko tu, CL yenyewe naionaga dukani tu!
usingenipendekeza ungenirudishia kile kitu changu wallahi
Chocs asante thana kwa kunipendekezaaaaa
Umenikumbusha.... Ngoja