Vivi una utani na Baba V?. mia
kinyanganyiro naona kumepamba moto aiseeeee
mume wangu unaniruhusu nishiriki!!!!!!!!!!!!
mbona haunipendekezi!!!!!!!!
wakati mwingine huwa dizaina.
Asante.
hata mi namshangaa wii, hata mimi nduguye hajanipendekeza au hataki tushiriki?
Hongera mwaya...
nitakuja unifundishe siku moja mojaa
mie nimejipendekeza mwenyewe nampendekeza Lady doctor na shansarie
mie nimejipendekeza mwenyewe nampendekeza Lady doctor na shansarie
Hayaaaa...anza kupiga kampeni
Sante sana..
nakupenda mia 100 wii wangu........