Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Uonyeshe miguu....
Ni kweli BelindsJ IFM ya zamani ilikuwa miadili sana...huoni watu kutembea nusu uchi....na tulikuwa pale kwa lengo moja tuu nalo ni kusoma.....
yo yo see ndiyo maana tunatifautiaana kimaadili...hata kama miye na belinda tumesoma miaka ya 80 lakini tuna more moral and value comapared to now..huwezi kunifanya nitembee na bikini miye and then what?
Bwana wee,ukienda vacation pita tu one mambo yake maana utafikiri summer ya huko..ila hata huko ulipo unasikia sikia mambo yake naamini.
Of course hatujasoma 80's but haibadilishi maana kuwa kuna mabadiliko ambayo huwa yana hasara na faida zake.
Eti ni watoto wa mjengoni siku hizi,Kelly yani ni vituko tu!
huyu Yo yo anasema mambo ya umiss yapo kila shule mbona sijaona huku state mambo kama hayo unless miye nimesoma shule ambazo hazijui starehe za hivyo.....
tatizo bongo huko wao shule ndiyo sehemu ya ngono...IFM ya sasa hivi i guess siyo kama ya enzi zile BelindaJ!.....You knwo what i am saying?.ndiyo maana kulikuwa na minimal discontinue....
Miss IFm jamani ndio kesho.....lakini nashangaa washiriki hawajatua sana...najua IFM kuna vitu vikali lakini hizi sura kama za Ardhi university...
kuna kitu nilikiona sehemu somebody yassin toto funika bovu angependezesha jukwaa kesho...
picture na michuzi
this is invasion of privacy! never look down on another human being..ningependekeza uweke picha yako nikurate kwanza kabla ya hujaanza kuwasema wenzi vibaya... utakuta hapo nungayembe,kinuka mdomo.. shenzi sana,mother-shut-your-mouth! f*&^*
this is invasion of privacy! never look down on another human being..ningependekeza uweke picha yako nikurate kwanza kabla ya hujaanza kuwasema wenzi vibaya... utakuta hapo nungayembe,kinuka mdomo.. shenzi sana,mother-shut-your-mouth! f*&^*