Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Yes, Mhaya.Alikua Muhaya?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sijui kwanini siku hizi makaburi yamekua na vimo vifupi sana kuliko zamani,sijui ni upungufu wa nguvu za mwili unaosababishwa na sababu mbalimbali,mi sijui,ok! R.I.P.
Vija wamekuwa mdebwedo sababu ya kula chips hawezi kutoboa miamba tena..Sijui kwanini siku hizi makaburi yamekua na vimo vifupi sana kuliko zamani,sijui ni upungufu wa nguvu za mwili unaosababishwa na sababu mbalimbali,mi sijui,ok! R.I.P.
Sijui kwanini siku hizi makaburi yamekua na vimo vifupi sana kuliko zamani,sijui ni upungufu wa nguvu za mwili unaosababishwa na sababu mbalimbali,mi sijui,ok! R.I.P.
unamjua?duuuuuuuh apumzike anakostahili