Nadhani tatizo ni ulaini wa baadhi yetu sisi vijana,marehemu anazikwa kwenye kina kifupi,halafu baada ya siku kadhaa unakuta kaburi lomefukuliwa kiasi,watu wanaanza kuhusianisha na ushirikina kumbe siyo bali ni ufupi wa kaburi ambao unapelekea hadi harufu ya mwili wa marehemu itoke nje na wanyama kama mbwa kujaribu kufukua ili kuona kuna nini,mimi naona utaratibu wa uchimbaji irudi uleule wa kipindi cha nyuma.Ukiona kina sio kifupi basi jua hakuwa mchawi huyo. Siku ukiona kina kirefu utakuwa unajua nini maana yake.
Miss Kagera mwaka 1999, Miss Bridgitte Buyuya alifariki dunia siku ya tarehe 26/05/2017 na kuzikwa siku ya leo tarehe 30/05/2017 katika makaburi ya Bunena, Manispaa ya Bukoba.
Marehemu alizaliwa tarehe 09/06 1978
hili kaburi lipo juu sana halafu wamejengea siku mbili tau hapo patapitika kweli?Nadhani tatizo ni ulaini wa baadhi yetu sisi vijana,marehemu anazikwa kwenye kina kifupi,halafu baada ya siku kadhaa unakuta kaburi lomefukuliwa kiasi,watu wanaanza kuhusianisha na ushirikina kumbe siyo bali ni ufupi wa kaburi ambao unapelekea hadi harufu ya mwili wa marehemu itoke nje na wanyama kama mbwa kujaribu kufukua ili kuona kuna nini,mimi naona utaratibu wa uchimbaji irudi uleule wa kipindi cha nyuma.
Ulitaka azikwe uchi??mbona kazikwa na nguo?
juu ya sanduku nguo ya nini?Ulitaka azikwe uchi??
Labda bendera ya uMiss.juu ya sanduku nguo ya nini?
Hali haitakua nzuri kwa wapitanjia na majirani kwa ujumla,kwakweli mimi huwa sifurahishwi na aina hii ya makaburi ambayo vina vyake ni vifupi,kama imegundulika kua vijana wa sasa ni midebwedo basi tuanze kukodi wachimba makaburi watakaochimba kwa urefu wa matakwa yetu nasiyo kama inavyofanywa sasa,i strongly disagree.hili kaburi lipo juu sana halafu wamejengea siku mbili tau hapo patapitika kweli?
weweLabda bendera ya uMiss.
wataanza kusema ni ushirikinaHali haitakua nzuri kwa wapitanjia na majirani kwa ujumla,kwakweli mimi huwa sifurahishwi na aina hii ya makaburi ambayo vina vyake ni vifupi,kama imegundulika kua vijana wa sasa ni midebwedo basi tuanze kukodi wachimba makaburi watakaochimba kwa urefu wa matakwa yetu nasiyo kama inavyofanywa sasa,i strongly disagree.
Ndo itakavyokua.. na waandishi wa habari wa baadhi ya vyombo vya habari wanaremba vichwa vya habari kua 'ushirikina wafanyika kwenye kaburi la miss",na ndani ya hiyo habari wanadadafua ushirikina nakuacha makosa dhahiri kabisa yanayofanywa na wanaositiri miili.wataanza kusema ni ushirikina
Eeee! kiongozi mbona unauliza kabira lake!!Alikua Muhaya?
Soma vizuri wewe mrundi, huyu kafariki May.Hivi hii inakuwaje Marehemu Shose Fidelis yule Mwanadada Shabiki wa Simba SC aliyefariki katika ajali ya Gari na Yeye alizaliwa mwezi May na kafariki mwezi May na huyu nae naona hapo juu kuwa alizaliwa mwezi June na kafariki mwezi June. Hivi hapa huwa hakuna Maajabu fulani labda ya Kitamaduni kama siyo hata ya Kisayansi?
Ulitaka azikwe uchi??
Labda bendera ya uMiss.
Hivi hii inakuwaje Marehemu Shose Fidelis yule Mwanadada Shabiki wa Simba SC aliyefariki katika ajali ya Gari na Yeye alizaliwa mwezi May na kafariki mwezi May na huyu nae naona hapo juu kuwa alizaliwa mwezi June na kafariki mwezi June. Hivi hapa huwa hakuna Maajabu fulani labda ya Kitamaduni kama siyo hata ya Kisayansi?