Miss Kenya Finished 6th worldwide Despite Trump Question

utawaskia watz wakesema hicho ni cha mzungu kenya bla bla bla....kenya kuna wakenya rangi zote! irony is wanapita kimya kimya hapa kwani walimtuma mzungu miss universe!!

Jihan dimack is a Tanzanian regardless of her race,religion or tribe.....

Kama watanzania tumeweza kukaa zaidi ya makabila 120 kwa amani sidhani kama hili ni la kushangaza....

Jihan is beautiful and have represented us well and we are very proud of her.. the rest will always remain as a history to tell
 
atoke wapi..hawa malimbukeni!!!! si ata ulizwa swali la kiingereza ajibu mambo yake na kuzungumza broken english...
Kwani kiingereza ni lugha mama kwake au kiingereza ni kipimo cha intelligency .........

Ni kweli waingereza waliitawala kenya na kuondoka lakini ni aibu wakenya baadhi mnavyoshindwa kuutoa uingereza katika vichwq vyenu
 
this is BS, swahili is not your first language kuna vilugha vya mama tanzania chungu nzima. swahili just evolved from inreractions with foreigners including arabs!! am proud to use 3 languages and I am a global citizen!!!
 
Swahili is more of an African language than a foreign one coz it comprises more words of local languages especially bantu ones...

i might admit that swahili may not be the mother tongue language of many Tanzanians but it is also a mother tongue language of many especially the ones who were born and raised in urban areas like me..

regardless of my ability in speaking many languages, education,income, tribe and religion, im still a humble Tanzanian who believe more in humanity and all i have doesnt make me any better than the rest of my fellow Tanzanians...
 
utawaskia watz wakesema hicho ni cha mzungu kenya bla bla bla....kenya kuna wakenya rangi zote! irony is wanapita kimya kimya hapa kwani walimtuma mzungu miss universe!!

Hahhha walituma wakizungu?
Ama majudges walidhania wamepoch?
 
If it was Kenya that had been represented by a white or Indian you people would be all over here bitching on how Kenyans are white man bootlickers.
 
If it was Kenya that had been represented by a white or Indian you people would be all over here bitching on how Kenyans are white man bootlickers.
Swali ni hakuna mchaga ama Mnyamwezi hivi angepelekwa? Unajua kwa hizi contests wanaangalia originality pia!

Wakisema Mkenya awe asili yake ni Mkenya, sio immigrant ama tourist ama settler (Ashakum si matusi)!! If Kenya is represented by an Indian, as we know Indians are Kenyan Citizens, or a coastal Arab from Mombasa, or white settler like Delamare children, they will not win.

The issue is we have a miss India with originality of India, We have Miss England with originality of Britain, so yours will lack that fact, eti ni mzungu wa Kenya ama Mwarabu wa Kenya, No!!

Lakini mabinti wa Kenya kweli sikuhizi sijui wanakula nini, hata jeshi, ukiokota mmoja anatop miss world!!
 
lazma wachukue mzungu kwani madem wa bongo ni wajinga sana...they are not bright...miss world competition is not all about looks but intelligence something that bongolalas clearly lack...and then there is the issue of language barrier....for a bongolala to speak just one sentence in english, THE WORLD WILL COME TO AN END!!! so they have to send wazungus...ataulizwa Miss Tanzania...why do you think Donald Trump was elected the 45th US president despite being the underdog in the race for the White House?

"Donad trampu is a vely good plesdent...yaani ni mzuli...thats why i pour him praises and give him vote and take him to nyumba nyeupe (White House)..."πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›
 
Hahaha! Duuh! Ndio nilikuwa na shangaa, kumbe ni mambo na intelligence na language?
 
Hahaha! Duuh! Ndio nilikuwa na shangaa, kumbe ni mambo na intelligence na language?
ataulizwa Miss Tanzania...why do you think Donald Trump was elected the 45th US president despite being the underdog in the race for the White House?

"Donad trampu is a vely good plesdent...yaani ni mzuli...thats why i pour him praises and give him vote and take him to nyumba nyeupe (White House)..."πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›
these so-called Swahilis cannot even differentiate between the letter "r" and the letter "l"...ni warembo sikatai ila I doubt the same can be said for their "upstairs"
 
Rekebisha:
Usiku kutwa- usiku kucha
Ziada:
Kutwa inatumika kwa mchana,
Mchana kutwa, and not usiku kutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…