Miss Kilimanjaro PRISKA

mashallaaaaaah mtoto, kijungu safiiiiiiii anafaaa kwa kupigia puchu sana.
 
Huyu atakuwa amemnyima mzigo hashi rundenga si hivi hivi

kwa uncleeee angekuwa anacheka na taji
 
Ila vijana msishabikie sana ngozi hiyo jamani mwinyi alisema jamani kadudu kamekaa sehemu mbaya jamani...ooohhh
 
Huyu atakuwa amemnyima mzigo hashi rundenga si hivi hivi

kwa uncleeee angekuwa anacheka na taji

Kweli, warembo walinukuliwa wakilalamika matokeo ya ushindi yalikuwa yanajulikana, wakisema kwamba wengi wa walioshinda (top 5) walipanua miguu. Rushwa ya ngono bado imeshamiri Miss TZ! Huyu alikataa, ndio maana kanyimwa. Ngono ni hiari na si lazima. Tusiendelee kumdhalilishwa mwanamke! NI HARAMU kumlazimisha mwanamke kufanya ngono kwa minajili ya kumpa upendeleo! NI HARAMU! Rushwa ya aina yoyote, hata ya ngono, imekatazwa na VITABU VYOTE TAKATIFU! Tafuteni, mtaona maandiko!
 
Huyu ndiye aliyefaa kuwa Miss Tanzania. Genevivie hamfikii HATA KWA CHEMBE!
 
hivi hizi picha ni kwa ajili ya watu flan kwamba wengine tupo blocked from access au!! maa me hua sioni picha katika threads zako bwana/bi mfunyukuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…