ben10jr
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 223
- 319
Wakuu, wapenzi na wafurukutwa wa hili jukwaa la MMU, nawasalimu in the name of MMU. Bila kupoteza muda au kupepesa macho, naomba niende direct kwenye point. Kwa kweli kila ninapoingia humu JF nisipomuona [HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] Natafuta# basi nakuwa sina raha. Na nafurahi sana kufuatilia comment zake. Nahisi ni mtu ambaye yuko bize sana, or sort of; kwa hiyo PM naona kama itakuwa kumpotezea muda.(Nilim'PM wakati fulani nikapotezewa)
Lakini, cha zaidi, kilichonifanya niandike Uzi huu maalum hapa MMU, special Kwa ajili yako [HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] Natafuta# ni kwamba jana jioni niliona "mtu" anafanana 99% na huyo aliyeko kwenye Display picture (avator) yako, nikatamani nimuulize ila mazingira hayakuwa rafiki. Sasa sijui hiyo picha hapo ni wewe ama la., hili ni jambo natamani kulijua pia.
Tafadhali wana JF, na mhusika, mniwie radhi in case nimeenda kinyume, lakini nimeona njia bora ni kuiweka wazi hapa. Nawatakieni j2 njema.
Wasalaam #ben10jr#