Miss Natafuta nakutafuta

ben10jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
223
Reaction score
319
Wakuu, wapenzi na wafurukutwa wa hili jukwaa la MMU, nawasalimu in the name of MMU. Bila kupoteza muda au kupepesa macho, naomba niende direct kwenye point. Kwa kweli kila ninapoingia humu JF nisipomuona [HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] Natafuta# basi nakuwa sina raha. Na nafurahi sana kufuatilia comment zake. Nahisi ni mtu ambaye yuko bize sana, or sort of; kwa hiyo PM naona kama itakuwa kumpotezea muda.(Nilim'PM wakati fulani nikapotezewa)
Lakini, cha zaidi, kilichonifanya niandike Uzi huu maalum hapa MMU, special Kwa ajili yako [HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] Natafuta# ni kwamba jana jioni niliona "mtu" anafanana 99% na huyo aliyeko kwenye Display picture (avator) yako, nikatamani nimuulize ila mazingira hayakuwa rafiki. Sasa sijui hiyo picha hapo ni wewe ama la., hili ni jambo natamani kulijua pia.
Tafadhali wana JF, na mhusika, mniwie radhi in case nimeenda kinyume, lakini nimeona njia bora ni kuiweka wazi hapa. Nawatakieni j2 njema.
Wasalaam #ben10jr#
 
Tehteh joo nilijua unatafuta huyu msupuuu umtie Ngeta pendwa
 
Ile thread ya 'wanaume wa Kanda ya ziwa ni madomo zege "
Kuna audio jamaa anasaundisha

Sio ishu ya domo zege. Nikipata fursa ya kuonana naye then atawaleteeni mrejesho kama ni domo zege ama la.
 
Anahasira hasira huyo, hapendwi kukopwa wala kugawa gawa papuchi yake japo analiaga kweli kule jukwaa la chini kabisa genye zinamtesa
Mkuu hakuna mwanamke asiyependa kuolewa. Ukiona hivyo basi hajapata mtu sahihi. Hata km ww kila unayempata nimpitaji tu itafika muda utasema bora ikae single tu lkn mapenzi yananguvu sana
 
Ungeita lucy, angegeuka basi ndo yeye miss natafuta.

Hiyo haikuwa njia muafaka mkuu. Maana kama hiyo ingewezekana basi ningekuwa na different story leo,, labda ningesema "nimefurahi kukutana na miss natafuta live"...etc
 
Tuseme miss ntft mwenyewe hajaona hii mkamalizana?
Ninakuunga mkono mtoa mada kuhangaikia sauti.
Maana hata vipofu hupenda kwa njia ya sauti. Aina hii ya upendo, hata wanaume wenye macho, wengine huvutiwa na sauti za wanawake hatimaye kuanzisha mahusiano yanayozaa matunda mema. Hapo usiongelee mambo ya sura.
Kila mwanaume ana hulka yake ya "kuzimikia".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…