Differential Equations
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 204
- 200
unapokuwa humu unatakiwa ufuatilie ya wapi?Huna kazi ndugu , unashinda unafuatilia mambo ya humu, hauko serious.
Umepiga ramli[emoji15] [emoji15] [emoji15]unafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta na mwanaume kabisa anajifanya dem
msameheunapokuwa humu unatakiwa ufuatilie ya wapi?
au ujitoe akiri ili ulichokiona jana ukikiona leo usikikumbuke?
We wa hovyo kabisa!
ramli uliyopiga imekudanganyaunafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta na mwanaume kabisa anajifanya dem
hata hivyo nilikuwa nimenunua kesi tu!msamehe
Endelea kumuamini, bado anatafutaKupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza familia yake
Cha kushangaza Leo ameonekana akitoa comments kwa jina lile lile katika habari mbali mbali hapa jf
Je huyu tuendelee kumwamini tena??
1.1.2017