Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Easy Dude.

Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
11
Reaction score
7
Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa.

Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters).

Jaman kwa namna ipi na kivipi inakuaje nisaidieni.Inachukua miaka 18 mtu kupata masters.Ina maana alianza shule na miaka 0, hata kama kasoma ulaya naomba kueleweshwa hapa kidogo.





 

Kama Hii Tu Unashangaa Na Mimacho Kukutoka Je Ya Grace Mugabe Mke Wa Rais Mugabe Wa Zimbabwe Utafanyaje?
 
inahuzunisha kuona wakubwa wa sector hiyo nao wako kimya tu
 
sijawahi kuipata vzr hiyo mkuu...anasema ana umri gani?
 
hao viongozi wa mashindano hawajuii au nao ndo hivo tena walimegewa chao wakakaa kimya?? yan sielew kabisaaa
 
hiyo system ndo unagraduate with 18 yrs?? confusing kabisa.
 
18yrs of age
Minus 2yrs masters 3yrs bachelor = 13yrs of age

Minus 6yrs secondary education = 7yrs of age

Minus 7yrs primary education = 0yrs of age

Minus 2yrs nursery school = -2yrs of age

Minus 3yrs ya kugrow at hom kabla ya nursery xcul = -5 yrs of age

So ur friend jus conjured a new miracle,, alianza kusoma 5yrs kabla hajazaliwa

Huyo ni Miss Tz wetuuu...
Bado tu wanamwandama miss tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…