BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
imebidi nicheke tu jamani
anko hashimu asipobwaga manyanga bas miss wake asande
Mwacheni mlimbwende wa Tanzania.....nasikia pia ni bikra.
Mwacheni mlimbwende wa Tanzania.....nasikia pia ni bikra.
bikra ya wapi?
Usifanyr mchezo na mlimbwende wa tanzania..... picha kwa hisani ya insta
Hivi hizi kelele zetu mitandaoni zitasababisha aVuliwe taji?
Usifanyr mchezo na mlimbwende wa tanzania..... picha kwa hisani ya insta
Kumbe alijikondesha hapo mzurii walah wembamba ni mbaya aiseee
mweeh sasa alikuwa wapi kugombea zile enzi za kina faraja kota nyalandu maana ndio age mate wake