Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Tanzania kila kitu kinawezekana, watu wamechakachua rasimu ya Katiba, sembuse umri!
Ila Sitti naye alizidi, jimama lote lile likadai lina miaka 18. Tanzania kazi tunayo mwaka huu, yaani huku Sitta na kule Sitti.
Ova
 
Subirini arudi na taji la Miss World sijui mtaficha wapi sura zenu nyie stupid haters

Haendi kwa miss world huyo watu wamesharusha vizuizi na ludenga kakaa kimya anahaha kuonga kufoji mambo lazima eeh undugu nakuelewa unauma ila age ni zaidi ya 24 sasa unakasirika nini?
 
Subirini arudi na taji la Miss World sijui mtaficha wapi sura zenu nyie stupid haters

We kweli ni zaidi ya mwezi mchanga nina uhakika yaani wewe na Sitti hata muamue kuroga kwa kutembea uchi nchi nzima huyo Siti wako akifika tu airport ya mashindano yanapofanyikia watamrudishia pale pale.... By the way mshashirikiana nae kutengeneza passport mpya inayoonyesha kazaliwa 1996!!!!!!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…