Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Tuma picha tulinganishe mkuuWamechemka. Hata mie kibonge navutia kumshinda miss
Kama waliojitokeza wote aina hiyo?Wamechemka. Hata mie kibonge navutia kumshinda miss
Angalia avatarTuma picha tulinganishe mkuu
Hapo hapo changamoto. Hapo utakuta muandaaji wake anajitapa miss wake atanyakua taji la miss TanzaniaKama waliojitokeza wote aina hiyo?
Hongera mkuu...mpe hongera shemeji[emoji39] [emoji39] [emoji39]Angalia avatar
Kuna watu sio photogenic. Tumuone live kwanza.Wamechemka. Hata mie kibonge navutia kumshinda miss
Hakuna App ya kusogeza hako ka emoji kwenye Avatar?Angalia avatar