Mimi siyo mwanamke mkuuWanawake hawapendanagi..sishangai wewe kumdiss huyo
LolKwa rukwa sio mbaya!
kwani ana kasoro gani?Hapo hapo changamoto. Hapo utakuta muandaaji wake anajitapa miss wake atanyakua taji la miss Tanzania
Hiyo make up umeiona?kwani ana kasoro gani?
only that?Hiyo make up umeiona?
Sura yake haifanani na umri wakeMkuu point yako hasa ni nini?
Mbona mie naona yupo fresh tu au ulitaka aweje?
Kwanza nijuavyo hata wamchague nani hawezi kuwavutia wanaume wote
Ame siti mtemvuMkuu point yako hasa ni nini?
Mbona mie naona yupo fresh tu au ulitaka aweje?
Kwanza nijuavyo hata wamchague nani hawezi kuwavutia wanaume wote
Ana cheo gani huyu bassilla maana alikujaga na NGO yake ya mama ntilie afu ziiiiiBasilla Mwanukuzi. Jiandae final ya Miss Tz twendee
Basilla ndo ana licence ya mashindano ya Miss Tanzania kitaifaAna cheo gani huyu bassilla maana alikujaga na NGO yake ya mama ntilie afu ziiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ame siti mtemvu
Ni bora kufuta mashindano..kuliko kutuletea vituko.Kama waliojitokeza wote aina hiyo?
Miss Natafuta ndio wewe nn!! Mana unatumia nguuuvu kumtetea.Kuna watu sio photogenic. Tumuone live kwanza.
Huwezi mjudge mtu kwa picha ,tena picha moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni bora kufuta mashindano..kuliko kutuletea vituko.
Mwakani watakuja kwani kuna haraka gani!!