Miss Rukwa 2018 wonders shall never end

Kwa mkoa wa Rukwa huyo ndio mrembo kabisa kabisa wala msitake kubisha.
 
Sema tu anaonekana anakula sana viazi na mihogo, akianza kula vihepe, pizza na baga atabadilika.
 
Huyu dada watu wamemuandama sana. Nahisi mpaka anajuta kushiriki hilo shindano. Sidhani mashindano ya umiss kama wana angalia sura peke yake.
 
Binadamu wote hatuezi fanana either kwa uzuri ama kwa ubaya.All in all hivo ndivo alivoumbwa na pia kutokana na targets ambazo walikuwa wamezieka hao waandaji ambazo wewe huezi ukazijua ndipo hapo huyu huyu ndio ameeza kuupenya mtego wa ushindani na akaweza kuchaguliwa.bY The way ukiwa unamshangaa huyu aliechaguliwa basini kwamba wewe unakinzana na uumbaji wa Mungu.Ndivo alivoumbwa,ndivo alivyochaguliwa,ndivo alivyoshinda na ndivo alivyo.​
 
Tumeanza kubaguana maeneo, kuwa wadada wazuri wanatoka sehemu Fulani na ndio wanastahili kuwa mamiss, kwangu hapana.

Huyo dada Mimi naamini ni umri wake halisi kabisa.
Kuna watu wakipiga picha wanaonekana ni wakubwa kuliko uhalisia.
 
Jinsi unavyovaa ndio jinsi picha inatoka. Ukivaa kizee utatoka hivyo hivyo
 
labda mvuto ni nini? mimi mbona naona anao mvuto? au vigezo vya mvuto ni nini?
Uzuri wa mtu uko machoni pa mtu kaka Rutta. Ndo maana wengi humu tumeona kuna namna kwa yeye kuwa miss rukwa ila waandaaji wameona anastahili
 
Jinsi unavyovaa ndio jinsi picha inatoka. Ukivaa kizee utatoka hivyo hivyo
Huyo binti ni mzuri sana tuu tena hatari labda watu hawajafurahishwa na make up yake lakini ni mmoja wa mamiss wazuri sana tena atakimbiza miss tanzania...
 
Uzuri wa mtu uko machoni pa mtu kaka Rutta. Ndo maana wengi humu tumeona kuna namna kwa yeye kuwa miss rukwa ila waandaaji wameona anastahili
Huyo binti ukimuangalia utajua wengi wameshindwa kumuelewa zaidi kutokana na make up aliyofanyiwa..... huyo binti atakuwa kati ya Mamiss watakao ingia top 10 Miss Tanzania mwaka huu....
 
Huyo binti ukimuangalia utajua wengi wameshindwa kumuelewa zaidi kutokana na make up aliyofanyiwa..... huyo binti atakuwa kati ya Mamiss watakao ingia top 10 Miss Tanzania mwaka huu....
Make up yake mbaya kiukweli. Ila kama mrembo make up ni jambo la muhimu sana. Na napingana na wewe hapo. Ataishia kwenye zone
 
Huyo binti ni mzuri sana tuu tena hatari labda watu hawajafurahishwa na make up yake lakini ni mmoja wa mamiss wazuri sana tena atakimbiza miss tanzania...
Sikatai..ni mzuri. Ila kwa make up hiyo tunaomba abaki huko huko rukwa. Muda umefika..wanawake tupunguze make up maana zinatuzeesha tunaonekana kama majini.
Ningekuwa mimi muandaaji wa miss Tz ningepiga marufuku make ups..hapo tutapata mtu ambae ni mzuri kikweli kweli
 
Mpaka nimuone kwa video nitaamini picha SAA ingine zinadanganya sana kumbe kwenye video mtoto soft sana lainiiiiii
 
Sikatai..ni mzuri. Ila kwa make up hiyo tunaomba abaki huko huko rukwa...
Kwani make up ni something permanent? I mean, make up aliyoitumia akiwa ngazi ya mkoa, ndo hiyo hiyo anatakiwa aitumie zone na kitaifa? Na kama si kitu permanent, huoni akibaki huko huko Rukwa taifa linaweza likapoteza fursa ya kupata mshindani mzuri just tu kwa kuwa alikosea kufanya make up katika level za mwanzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…