Yaani kweli ndio utashangaa watu wanavyosifia vya jirani wanaacha kutengenea vya kwao.
Alafu huyu mdada ni wa kawaida saaaana.!!!
naona kama ana pua ya kihutu au macho yangu ila kitu si mchezoToto la kitusi bana we acha
Wakuu. Natofautiana nanyi,dont be carried away na picha.Kweli hata mie niko Stunned, ni MZuri SANA