Miss rwanda 2010 grace bahati is stunning…!!!

Najivunia sana kuwa mwafrica, najivunia sana kuwa mweusi.
 
Mzuri lakini kwa uzuri wa kinyarwanda huyu si mkali sana. Wabongo wengi pia wanamuacha mbali sana.
 
Jamani mbona wakawaida sana............je mnge mwona SUZY WANGU!

sindio mngetamani kuuza hata hizo zakujenga wenyewe...........
 
Na ndo maana yule mwanandinga wao maarufu, Kataut alimzimia mdada wetu huku Bongo.
 
Usitamani wa jirani yako wala chochote alicho nacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…