Miss so much

Miss so much

Liborio

Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
69
Reaction score
37
Kiufupi niliwamis sana kiasi ya kwamba hata kuelezea siwezi, ila naimani tuliokuwa nao mwaka Jana Mungu awabariki sana.. Pia niseme kwa wale wenzetu ambao tulikuwa nao kwa namna moja au nyingi Mungu aliwapenda Basi wapunguziwe adhabu ya kaburi.. Nawasalimuni wote kwa Imani uliyokuwa nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A.msalaaam alhamdulilah tumekutana tena tukiwa wazima tuwaombee msamaha kwa waliotangulia mbele ya haki MWENYEZMUNGU awapokee kwa wema awaondolee adhabu za qabur yaarab karibu tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Naimani umeniona vzr sana, sina mengi 100

Nimepitia profile yako nimeona last time uliingia 2018 Feb, almost mwaka mzima.

Sina swali zaidi, jaribu tena. Natumaini kwamba ulikokuwa ni salama, na sisi tuliko Mungu anatuneemesha.
 
Mwaka Jana nilikuwepo ila sikuwa nimeupdate any news... Shushu yupo wapi??
 
Back
Top Bottom