Amiin!!A.msalaaam alhamdulilah tumekutana tena tukiwa wazima tuwaombee msamaha kwa waliotangulia mbele ya haki MWENYEZMUNGU awapokee kwa wema awaondolee adhabu za qabur yaarab karibu tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Naimani umeniona vzr sana, sina mengi 100
Karbu kakaMwaka Jana nilikuwepo ila sikuwa nimeupdate any news... Shushu yupo wapi??
Tuma picha yakoMwaka Jana nilikuwepo ila sikuwa nimeupdate any news... Shushu yupo wapi??