*Miss Tanzania 2008*

Jamani,

Nasreem alifanyaje huko kwenye mashindano ya Miss World? Niliangalia semi-fanal wala sikuona sura yake kabisa.
 
Jamani,

Nasreem alifanyaje huko kwenye mashindano ya Miss World? Niliangalia semi-fanal wala sikuona sura yake kabisa.

Ndugu yangu mambo si mambo, yale yale. Labda tutafute kocha wa kigeni aweze kuwafua wadada wetu!!!

Je hatuna uwezo wa kung'ara miss world? Au tutakuwa tunaendelea na usemi wetu ule ule wa ........Kama Nancy..........

Nini Kifanyike?????????????????
Nasreem karibu nyumbani kumbuka nyumbani ni nyumbani
 

Mbalawata narudia tena katika thread hii pia.... kocha wa kigeni ya nini? Kwani Flavian Matata na Odemba walikuwa na makocha wa kigeni?
 
Huyu mtoto Nasreem nasikia ugonjwa wake mkubwa ni wanaume walio 'well hung'. Akimwona mwanaume yeyote yule huwa anaangalia kwanza kwenye flaisi kwa makini, akiona dalili za 'hogo' kubwa anachanganyikiwa, hajiwezi kabisa! Wataalamu hapa wananiambia mtu mwenye shida hiyo hawezi ku-concentrate kwenye chochote na wengi huwa wanafeli masomo shuleni. Jina la ugonjwa ndio nimesahau, lakini ndio shida yake huyo mrembo.
 

Wacha kumchafua msichana huyu! Si peke yake ambaye amechemka katika mashindano ya urembo and it is not entirely her fault! Maandalizi nayo hayakuwa mazuri!
Lakini private life yake remains just that PRIVATE!
 
Hivi huyu Flora Mvungi ndio yule anaye act na Dude kwenye kipindi "Bongo Darisalama"? Looks like her and episode ya jana naona katumia jina hilo hilo katika mpango wa kuwalaghai Takukuru.........Dude na watu wake bwana! Wanaleta burudani poa sana.

Kama ni yeye, sikujua kwamba alikuwepo kwenye kinyang'anyiro cha Ms. Tanzania. I guess she is making some kind of steady paycheck acting on that show - at least kapata meaningful ajira.
 
Je warembo wetu walifika wapi na wako wapi hivi sasa? Samahani kama nimekosea spelling za majina hapa na pale, nimejitahid kadri nilivyoweza kuyapata.



1960: Carmen Lesley Woodcock



1967: Theresa Shayo




1994: Aina Maeda



1995: Emily Adolph



1996: Shose Sinare



1997: Saida Kessy



1998: Basila Mwanukuzi



1999: Hoyce Temu



2000: Jacqueline Ntuyabaliwe



2001: Hapiness Magesse



2002: Angela Damas



2003: Sylivia Bahame



2004: Faraja Kotta



2005: Nancy Abraham Sumari



2006: Wema Isaac Sepetu



2007: Richa Maria Adhia



2008: Nasreem Karim Ndiye
 
Mwl. Kichuguu, jaribu kuwasiliana na bro Michuzi ana record na picha nyingi kuhusiana na warembo wa nchi yetu... itakuwa poa sana kama uta recompile list na kujumuisha hata washindi wa pili na watatu katika michuano!!
 
Mwl. Kichuguu, jaribu kuwasiliana na bro Michuzi ana record na picha nyingi kuhusiana na warembo wa nchi yetu... itakuwa poa sana kama uta recompile list na kujumuisha hata washindi wa pili na watatu katika michuano!!

Nadhani Michuzi naye ni mwanachama wa hapa, ama sivyo ningeshauri Max am-recruit kwani atakuwa resourceful sana.
 
Katika ma-miss wote mimi namkubali sana faraja Kota, she is beautiful, intelligent and she is very successiful married woman. Bravo girl!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…