Miss Tanzania 2010 wanusurika kifo Baharini jana!

Miss Tanzania 2010 wanusurika kifo Baharini jana!

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Habari zilizosambazwa kwenye "Kitabu uso" Facebook Kuwa wakiwa wanaenda au kutoka katika kisiwa cha Bongoyo boti yao ilipinduka na wao kumwagwa baharini ambapo waliokolewa lakini watano kati yao walipoteza fahamu ajali hiyo inadaiwa ilitokea karibu na Hotel ya Giraffe ambapo wamepiga kambi huko.... Mwenye habari zaidi atujuze... naona habari hii imekaliwa... Si wajua tena mambo ya Laki 1 Mlimani city...
 
Ooooh my God visura wetu. Nawapa pole zao nyingi na waendelee na harakati zao. Tunashukuru kwa taarifa mkuu.
 
Hapo hapo waonge kwa Lundenga hapo hapo wazame baharini, Tabu juu ya shida.
 
poleni wanyange wetu.............
 
watoto wa babu lundenga poleni sana
 
Back
Top Bottom