Miss Tanzania 2010

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,656
Wadau wa spots na burudani hakuna mwenye interest na Shindano hili atujuze kinachojiri?
Kwani inafanyika muda huu pale mlimani city.

=================

CONTESTANTS:

 
muda huu THT wapo jukwaani wanatoa burudani mwansiti anaimba, wamejitahidi jukwaa limependeza
 
Naona burudani zinachukua muda mwingi kuliko shoo yenyewe.
 
sasa walimbwende wanapita na vazi la jioni,
wamependeza kweli
 
Nasikia mwaka huu wamejazia sana sana ha ha ha, I wish ningeweza kuona
 
sasa ni mchujo wa kumi bora.
Ni kweli wa mwaka huu wamejazia jazia.
 
Jamani huyu Patel boss wa mashindano haya ana board guard kama raisi!
 
Kila anapotangazwa mshiriki anayeitwa CONSOLATA ukumbi unalipuka kwa mayowe.
Bila shaka huenda akaibuka mshindi.
 
dahhhh kikwete kapigiwa d ebe live na mrembo baadaya kuulizwa atamchagua mtu wa aina gani, akataja hizo sifa kisha akasema jk anazo kwani anaongoza kwa ari nguvu na kasi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…