kuiga kumezidi mno...ndiyo maana ma-miss wanashindwa kuchangamka!! Utakuta wengi hiyo siyo interest yao ila kwa kuwa wana maumbo stahili huwa wanadanganyana kuwa watakuwa ma-miss wazuri....
Haya Genevieve Emmanuel Mpangala, MISS TZ!!!!!!!!!!!!!!!!!
emmanuel mpangala alikuwa ni mmoja wa viongozi wa yanga mpaka uchaguzi wa hivi karibuni, miss tanzania inaratibiwa na lino agency inayoongozwa na Hashim Lundenga,na Lundenga ni mmoja wa maseneta wa yanga sc, je kuna mahusiano yoyote baina ya mshindi na ukaribu wa lundenga na babayake? je alistahili kuwa vodacom miss tz 2010?
Inasemekana wakipewa magari ya gharama huwa 'wanawehuka'
Vodacom wamelalamika kwa miaka miwili mfululizo magari ya washindi kuendeshwa na ma-boyfriend wao muda wote na kuharibu dhana nzima ya Vodacom kujitangaza kila mshindi anapoonekana sehemu na gari lake.Kuna jamaa anaitwa Victor anakuwa nalo muda wote alikuwa BF wa Nasreen na baada ya Miriam kushinda akamtema Nasreen na kuhamia kwake, sijui kama atahamia tena kwa Genevive kwa sasa.
Hizi data za Victor na Nasreem na Miriam umezitoa wapi?
Hizi data za Victor na Nasreem na Miriam umezitoa wapi?
mashindano yana miaka nenda miaka rudi, hakuna mabadiliko, hakuna kipya... hivi kuna hata website ya miss tanzania kweli?// where we would go and peruse prognosis ya hii condition?Binafsi sidhani kama kuna mkono wa Lundenga. Ni vigumu kwa yeye kuwabana kimaamuzi majaji kama R. Shah na Ayoub Ryoba. Ila naona pia viwango vya mamiss this year vilikuwa chini. Uwezo wao wa kujibu maswali ni mdogo sana. Hapakuwa na washindani wenye nguvu kama enzi za Irene Kiwia na Mercy Galabawa, Angela Damas, Mackline Mdoe na Mbiki Msumi. Sijaona hata kashkash kama enzi za Basilah Mwanukuzi. Hii shoo imepoa sana.
Kwa habari ya kustahili kuwa Miss TZ nadhani angalau kwa kundi la wabovu hawa Genevieve alikuwa na afadhali.
Nadhani kilichobaki ni hawa mamiss kuingia kwenye filamu maana kila anayeukosa umiss anadhani anaweza kuigiza. Ni tatizo hili.
tatizo ni kale kalaki au?nasikia mwaka huu wamejazia sana sana ha ha ha, i wish ningeweza kuona
MKONO UPO SEMA WEWE HUJUI ME NILISIKIA wakati wa ushindi wa mrembo faraja kotta ilitakiwa achangie gari ile ili apewe ushindi.wanachofanya voda wakitoa gari la milioni 30 basi ukitaka kushinda unampatia million kama kumi lundenga then wao wanakupa ushindi.kwa hiyo unanunua millioni 30 kwa shilingi millioni 10.asa huyu mrembo baba yake alichangia ndo akapewa ushindi.hivi ushawahi kuona mtu choka mbaya anashinda hili taji?Binafsi sidhani kama kuna mkono wa Lundenga. Ni vigumu kwa yeye kuwabana kimaamuzi majaji kama R. Shah na Ayoub Ryoba. Ila naona pia viwango vya mamiss this year vilikuwa chini. Uwezo wao wa kujibu maswali ni mdogo sana. Hapakuwa na washindani wenye nguvu kama enzi za Irene Kiwia na Mercy Galabawa, Angela Damas, Mackline Mdoe na Mbiki Msumi. Sijaona hata kashkash kama enzi za Basilah Mwanukuzi. Hii shoo imepoa sana.
Kwa habari ya kustahili kuwa Miss TZ nadhani angalau kwa kundi la wabovu hawa Genevieve alikuwa na afadhali.
Nadhani kilichobaki ni hawa mamiss kuingia kwenye filamu maana kila anayeukosa umiss anadhani anaweza kuigiza. Ni tatizo hili.
kajikwaa kidogo lakini hajaanguka chini
dahhhh kikwete kapigiwa d ebe live na mrembo baadaya kuulizwa atamchagua mtu wa aina gani, akataja hizo sifa kisha akasema jk anazo kwani anaongoza kwa ari nguvu na kasi zaidi
Huyu kwenye picha ni Mrs Mpangala? (mama yake Miss TZ 2010??)
Miss TZ 2010 Genevive Mpangala akilia machozi ya furaha, hakuna miss hapo duh....
Miss TZ 2010 Genevive Mpangala akilia machozi ya furaha, hakuna miss hapo duh....