Miss Tanzania 2012

Miss Tanzania 2012

Acha ujinga wewe! Sisi tulio nje hatujui mambo yanayoendelea nchini!
 
Haaaaaa kuku mgeni hakosi kamba mguuni,ni kweli upo nje ya nchi lol
 
images


huyo hapo
 
Swala lipo mahakamani. Marufuku kulijadili humu.
Anayeruhusiwa kulijadili ni JK tu.
 
Lisa Jensen ndiye kaenda kuwakilisha nchi miss world, ila mashindano yenyewe bado.
 
Back
Top Bottom