Miss Tanzania 2014 live Star TV

Sijawah ona Vanesa kapendeza jamani vinguo vyake hovyo hovyo tu
Sasa hapo wanaigiza wangeacha kushika maik tu jaman wakacheza tu

Na exposure yake yoooote mtv.....sijui ana tatzo gani..full upare.....kinguo anakivutaaaa
 
Huyu Vanesa hiyo make up wamempakaje sijui!!!??? Halafu hiyo nguo anavyoishikilia isianguke mbona vituko!!
 
Nipo mkuu, tv yako umepeleka wapi leo??

niko nayo mbali kidogo mkuu, sema ndiyo hivyo na interest inachangia..miss ni wachumbani kwangu bana,
hao wanakuwaga wembamba sana,
sasa mimi na wao..bila bila!!
 
Hahaa DJ kapita humu JF nn naona kabadilisha liwimbol ake,
 
Kah huyu miss Sinza hana kigezo chochote eti miss maria stopes mbona majanga
 
mimi haya magaguro wanayovaa kaka zetu juu ya suruali hata hayanibariki.
 
Wakuu hivi game ya taifa stars na benini wametoka ngapi ngapi.?alafu mwenye matokeo ya liverpool na qpr tafadhari niko mgodini uku sina mawasiliano mazuri..aksanten kwa utangulizi.

Umeingiaje JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…