Miss Tanzania 2014 live Star TV

Hapa huyo mshindi wa kwa Le mutuzi lazima abebe miss Tz. Huyo muhindi au Huyo wa Tmk
 
mimi haya magaguro wanayovaa kaka zetu juu ya suruali hata hayanibariki.

Wanaiga visivo faa hapo kamuona Kanye naye kaiga hawa wanaume wanaovaa nguo za kike waangaliwe vzuri mana wanapoyosha youth Ommy kachemsha na li mu skirt lake
 
Dah..., watumie tu lugha yetu aisee, mbona wenzetu wanaenda MISS WORLD na wakalimani tuuu!
 
niko nayo mbali kidogo mkuu, sema ndiyo hivyo na interest inachangia..miss ni wachumbani kwangu bana,
hao wanakuwaga wembamba sana,
sasa mimi na wao..bila bila!!

Subiri niangalie unaelingana nae thn tumfungulie id BURE awe member jf....
 
Mfyuuuuuuu nmechukia ati ndio nn mamis suraa ka wanapuriza myoto mfyuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…