demba kasepa...
Angepata Marry tusingepumua aiseeee yaan bint anautaka umaarufu huyuuuu duu ajitahidi tu atakua maarufu aimbe mziki
Watabadilishana na mwembamba bongo kila kitu kinawezekanaa
ashapata mana pale mapedeshee washamuona teyari na ye ataanza kuandikwa
mnene kabisa mtazame shingo km pira la nnya
hahahaha mpaka umefanikiwa kunichekesha, nilikua nimefunga kucheka kwa miaka 9, sasa nimefungua leo mwaka wa 7. miezi 6, wiki 2 na siku 3
Eeeee hapo tutakonyezana tu akianza skendo
nHivi ukiambiwa uchague Lugha kati ya kiswahili na kingereza si unatakiwa uchague kati ya hizo mbili ? sasa kuleta Kifaransa Inahusu ?? Mfyuuuu Mashauzi.com , hujafata masharti ukishinda naandamana
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Najiskia kichefuchefu kutapika ctapiki mweheeee
Akienda miss world hata top 50 hayumo
yule alisha fell baada ya kushindwa kufuata maelekezo na kuchanganya na kifaransa. zaidi ya hapo kajibu nje ya swali lakini nashangaa kawa mshindi duh.
n
Na ndo kashinda sasa....kifaransa kimewachengua majaji!!!
Kiukweli ingewezekana hata mi ningekusaidia kuandamana, maana dah yule kapewa tu wala hajashinda!