Aaaaahhhh mbavu zangu mie eti macd ya zamani
kama yale ma VHS tuliyokuwa tunakodi kwenye vibandaCamera zao low quality haionyeshi vzuri tv inaonyesha kama ma cd ya zamani
kama yale ma VHS tuliyokuwa tunakodi kwenye vibanda
Miss Geita hapana jmn khaaaa
Au vile vichekesho vya cha chaplini waboreshe camera zao bana
HAWA mamis wa mwaka huu wabaya jamani au ndo camera...???!!
Ni kweli aisee wafupi wanene wengi hawana vigezo wazuri wengi siku hizi hawashiriki miaka michache ukiwa cheki usoni vikongwe
Muda wa kuangalia nyuchi? Anza kuangalia nyuchi ya dada yako kwanza hapo kwenu kabla ya kuwasha hiyo Star TV
Ni kweli aisee wafupi wanene wengi hawana vigezo wazuri wengi siku hizi hawashiriki miaka michache ukiwa cheki usoni vikongwe
diva Ila kunawatu wamesema wanaona vzuri ndo maana nimeomba muongozo tafazali kesho wanipe yaliojuza