M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Miss Tanzania Sitti Abbas Mtemvu ni msichana mrembo na anayevutia kimapenzi ambayo Tanzania haijapata kuwa nae, kwa kweli ukimuangalia kwa haraka ni msichana mwenye heshima na upeo wa hali ya juu. Homgera sana Dada Sitti kwa ushindi wako wa kishindo. Japo wazushi wanachonga sana wapotezee. Pamoja sana SITTI