M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Miss Tanzania Sitti
Abbas Mtemvu ni msichana mrembo na anayevutia kimapenzi ambayo Tanzania
haijapata kuwa nae, kwa kweli ukimuangalia kwa haraka ni msichana
mwenye heshima na upeo wa hali ya juu. Homgera sana Dada Sitti kwa
ushindi wako wa kishindo. Japo wazushi wanachonga sana wapotezee. Pamoja
sana SITTI
Bangi za kugongea jamaniii sio nzuriiii