Miss Tanzania 2018: Miss Kinondoni, Queen Elizabeth aibuka mshindi

habari wadau..

gari la mshindi wa diamond karanga ni zuri kuliko miss tanzania .

hii inamaanisha nini?

je diamond karanga ni kubwa kuliko miss tanzania

Washaanza kumchokonoa Basila. Wacha waseme mama wakikua wataacha.
 
Washaanza kumchokonoa Basila. Wacha waseme mama wakikua wataacha.
Ukweli mchungu.....tulia uwaingie wakarekebishe Wasilazimishe kutoa zawadi ya Gari bila kujua Hadhi ya Mashindano wanayoyaandaa zawadi ya Gari la Diamond karanga ni kipimo cha kujitafakarisha...
 
C
Clouds Media wakishadandia kitu lazma kiende mrama sijui wana gundu gani hawa jamaa?

Coudizzzzz ni shiiiida. Ila sio siri mwaka huu mashindano yamepoa kama jokofu na warembo hawavutii.
Warembo waliovutia enzi zao ni, BASILA MWANUKUZI, NANCY SUMARI, WEMA SEPETU, HOYCE TEMU na FARAJA KOTA.
 
Hivi kweli mshindi wa Taifa unamzawadia Terios KiD yenye cc650.....
Ni bora wangemnunulia HARRIER second hand ya 15mil
 
Queen Elizabeth huyu huyu wa Uingereza?
 
Mmmmh....ila haya mashindano mmmmh sasa gari gani hili?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…