Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Hivi huyu Miss alishandana na ma mbwiga gan hadi akawa miss tz?
[emoji1]Hahahaa jaman
[emoji1]
Kweli, hivi ukimuangalia hadi unajiuliza yaan bongo yoote hii, ndio tukaona huyo afaa
HahahahaKwwli kabisa,Miss Tanzania walikosea sana nahisi ndio maana wanazungusha kumpa zawadi zake za ushindi
Waswahili wanasema tatizo nyota yani binti yupo yupo mavazi machafu hajui kupangilia safari miss tumepeta.Honesty diana hakufaa kuwa miss Tanzania,alibebwa na kamati ndio maana hana support yoyote kutoka kwa watanzania na kamati yenyewe kabla ya shindano na baada ya shindano.
Inaonekana binti ana jeuri flan na kadharau,kule instagram alikua na majibu ya shombo alipokuwa mashindanoni miss world,hapendi ushauri.
Flaviana ni mweusi ila anajua nn kinaendana na mwili wake kwa mavazi,viatu,nywele hadi make up ila diana vituko tupu.
Hana vigezo vya kuwa miss Africa. Labda tu apewe ka haki ka kuwa ile ni document yake basi.
Hashim Lundenga voiceHonesty diana hakufaa kuwa miss Tanzania,alibebwa na kamati ndio maana hana support yoyote kutoka kwa watanzania na kamati yenyewe kabla ya shindano na baada ya shindano.