Miss Tanzania ataka namba ya Samatta

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2005 ambaye pia ni mcheza fi lamu, Maureen Gislary ameibuka na kutaka namba ya simu ya mchezaji wa timu ya Taifa Stars na Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo,Mbwana Samatta kwa gharama yoyote.

Akizungumza na Amani Sports, Maureen aliyekuwa kumi bora katika kinyang’anyiro hicho cha Miss Tanzania kilichoshuhudiwa kwa Nancy Sumari kuibuka mshindi alisema kuwa, nia ya kuhitaji namba hiyo nikuhakikisha anamuweka Samatta ‘kibindoni’ kabla hajatimkia nje ya nchi.

“Kwanza nimefurahishwa sana na ushindi wake wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani mwaka 2015, mwenye namba yake tafadhalini naiomba kwa gharama
yoyote nitatoa,” alisema Maureen.
 
Last edited by a moderator:
 
Ni.. 07126**374.. Alete papuchi nitamtajia tarakimu mbili nilizo ficha
 
Eti anataka ampate kabla hajatimukia Ulaya!!!!!
 
Ukute mwenyew Samatta yupo humu humu anafuatilia kwanza mchezo unavoenda, mtoto mwenyewe bila kutongozwa anataka atoe papuchi kwa mbwana samatta.
 

" K " Za Kujipeleka Namna Hii Huwa Zimechoka Hadi Zimebadilika Na Mwonekano.
 
Mh ukiona msichana wa kiafrika anapapatikia mwanaume ni aidha kaungua, hana hela au anakutania
 
Ukute mwenyew Samatta yupo humu humu anafuatilia kwanza mchezo unavoenda, mtoto mwenyewe bila kutongozwa anataka atoe papuchi kwa mbwana samatta.
😎naona mama huruma anataka atoe uroda kabla hajaombwa!
 
" K " Za Kujipeleka Namna Hii Huwa Zimechoka Hadi Zimebadilika Na Mwonekano.
Haaaa! Una wivu acha wamtunuku kijana mwenzio!
Chagua ,chezo unaouweza hata Pool table tuu onyesha kiwango utawapaaa!
 
Kwa mfano huyu mwanamke ndio unamuita dada yako halafu unakuta habari hii kuwa anataka namba ya mtu fulani ili abinuliwe sijui utajisikiaje??? Dada zetu hawa siku hiz ni majanga
Ha ha ha inauma eeeh! Kila mwenye dada hakosi shemeji! Hata hiyo unayembinua wewe ana kakayake nae hajisikii vizuri sema hakufahamu tuu halafu haina namna!
 
Huyo atakuwa kibibi..anataka kumbaka kijana wa watu 22yrs acha hizo wewe wapelekee kina Shigo.wasije wakaanza kukuwinda OFM!
 
Ha ha ha inauma eeeh! Kila mwenye dada hakosi shemeji! Hata hiyo unayembinua wewe ana kakayake nae hajisikii vizuri sema hakufahamu tuu halafu haina namna!
Sawa ila yeye hakujinadi mitandaoni kuwa ananitaka, vuta picha huwa amekuwa mdogo wako mkuu utajisikiaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…