Miss Tanzania ataka namba ya Samatta

eeh mungu niepushe na umbea.mimi na watoto wangu.ameeeeen
 
Wasinii wa bongo bhana wakimuona m2 kawa maaruf wanampapatikia wanajua ana mapesa kama ningekua na dawa ningewapa mimba wote araf zisitoke
 
Huyu Maureen kachoka unataka kumbemenda kaka wa watu watu wamekudandiadandia huko majumba sita ...eti sammata kwanza ulikuwa na miaka mingapi hiyo 2005 mbwana alikuwa hata hajabalehe wakati huo wewe ulikuwa unamegwa tu airwing pale
 
Labda ni mjasiriamali anatangaza bidhaa zake...
 
0744000094 namba ya Samatta ambayo aliibadili kutokana na fujo. Mwambie asimpe mtu
 
Mimi ndiye Samatta so mwambieni ani PM tu!!
Itakuwa kashazeheka huyu bint! Jiulize hiyo 2005 alikuwa na miaka mingapi!! Na ubibi wote huo anataka kumuweka wapi mtoto wa watu! Wanawake wa miaka hii wanakuwa na matamanio kuliko hata wanaume
 
huyo mdada si aseme kuwa anataka hela za samatta....kwenye kivuli cha upendo feki
 
huyo mdada si aseme kuwa anataka hela za samatta....kwenye kivuli cha upendo feki
Kama shida yake ni hela basi aje kwangu, asipate shida ya kupanga foleni kwa Samatta, tena ukizingatia samatta saivi nafikiria namna atavokuwa anakula papuchi za wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…