Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Hivi kwanini wanadanganya umri ,hata tukisema ana certificate bado Kwa kumaliza form four 2011. Kama kaanza msingi na miaka Saba angekua na 22 Kama na mitano angekua na 20 sasa hiyo 18 inamaana kaanza na mitatu,Kwa hili la miss Tz Kama n kweli wanasema ana 18 basi somo la hesabu Ni gumu Sana Kwa Tz.

Sent from mTalk
 


Twende mbele turudi nyuma, huyu mwanamke ni mbaya aisee, alafu sijui wanatumia vigezo gani kuchagua mshindi.

Naskia ana degree lakini umri wake ni 18 (elimu ya bara )
[HASHTAG]#wacha[/HASHTAG] vituko viendelee [emoji28] [emoji28]

Alisema wapi na lini kwamba ana degree?
 

Cheki video kuanzia dk ya 8 utajua kuwa miss wetu ana degree ama uzush . Wabongo tumezidi.
 
Tangu Ile habari ya Sitti sipotezi tena muda wangu kwa hiyo inayoitwa Miss Tanzania, maana mapungufu mengine hata hao viongozi wangeweza kuyamaliza wenyewe mapema
 
Tangu Ile habari ya Sitti sipotezi tena muda wangu kwa hiyo inayoitwa Miss Tanzania, maana mapungufu mengine hata hao viongozi wangeweza kuyamaliza wenyewe mapema
Miaka 18 ana degree, miaka 9 alianza form 1, miaka 2 darasa LA kwanza,..amazing
 
Ila tukubali tukatae Miss Tanzania ishapoteza umaarufu hasa baada ya ishu ya Siti,
Zamani nakumbuka watu familia nzima yani hamlaliii mnaangalia show, Miss world ndo usisemee..tulikua tunafatilia tangu watu wapo kambini hadi life after ushindi...
Huyu ss kama ishu yake ya umri mara elimu inaanza leta mapicha picha hii sanaa ndo inazama hivoo
 
Dah leo naona vioja hapa Startv... mtu anaojiwa anasema ameji design mwenyewe haha..
Mara mc anasema shindano live toka lock city Mwanza wadau au Tv yngu duh..
Nadhani mkuu TV yako itakuwa imexhukua mubashara vibaya !tehe!twehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…