Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
mamake le mutuz alikuwaga miss tz?Mama ake LEMUTUZ?
bora iitwe miss chato tuu maana hamna namna sasaMiss Tanzania inapaswa ifutwe na kama inaendelea isitumie jina Tanzania maana ni aibu
sawa na baba yake waziri wa elimu kule nacte kwenye vyeti vya shule yule baba hqbanduki tu.Kwani huyu Lundenga ndio SI unit ya hayo mashindano wadau?nimemsikia huyu jamaa tokea sijaanza kuota ndevu,sasa ndevu zimeota mpaka zinaanza kuota mvi bado nasikia Lundenga,hii naona ipo Tanzania pekee,abakie sasa kuwa mshauri tu awapishe na wengine wasonge mbele na hiyo kazi.
Sio atimuliwe anatakiwa kunyongwa kabisa,maana kwenye utapeli wa ngono kapitiliza kabisa kenge huyolundenga inabidi atimuliwe miss tanzania...
uncle magu lazima afutilie mbali huu ujinga
Huyo lundenga hana tofauti na ccmKwani huyu Lundenga ndio SI unit ya hayo mashindano wadau?nimemsikia huyu jamaa tokea sijaanza kuota ndevu,sasa ndevu zimeota mpaka zinaanza kuota mvi bado nasikia Lundenga,hii naona ipo Tanzania pekee,abakie sasa kuwa mshauri tu awapishe na wengine wasonge mbele na hiyo kazi.
miss Tanzania ni kampuni binafsi ya Lundenga. serikali haihusiki.Mimi nashindwa hata kuelewa huyu HASHIMU LUNDENGA anafanya nini mpaka sasa kwenye MISS TANZANIA..
Nape Nnauye tunaomba uisambaratishe hii kamati iliyozeeka ya Miss Tanzania jamani,yaani kweli tunafelishwa na kina Lundenga na wenzie jamani kwa maslahi yao binafsi?!
Wapeni wakina JOKATE na K-LYNN hii mikoba muone mabadiliko,linakera sana hili swala.