PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Nov 10, 2016 #41 makilo said: Atulie Nimuoe. Click to expand... Afadhari umuoe mkuu. Mtoto mrembo anafaa kuwekwa ndani asafishe nyumba.
makilo said: Atulie Nimuoe. Click to expand... Afadhari umuoe mkuu. Mtoto mrembo anafaa kuwekwa ndani asafishe nyumba.
Da Asia JF-Expert Member Joined Sep 25, 2011 Posts 731 Reaction score 819 Nov 11, 2016 #42 nitonye said: haya mashindano yangefutwa tu kuliko kuwadhalilisha mabinti zetu Click to expand... wanajidhalilisha wenyewe kwani wameshikiwa bakora washiriki
nitonye said: haya mashindano yangefutwa tu kuliko kuwadhalilisha mabinti zetu Click to expand... wanajidhalilisha wenyewe kwani wameshikiwa bakora washiriki
Da Asia JF-Expert Member Joined Sep 25, 2011 Posts 731 Reaction score 819 Nov 11, 2016 #43 miaka 18 anatakiwa aende chuo akajitafutie maisha, sio kuhangaika na utumbo wa u miss unaratibiwa na vibabu ambavyo havitaki kubwaga manyanga
miaka 18 anatakiwa aende chuo akajitafutie maisha, sio kuhangaika na utumbo wa u miss unaratibiwa na vibabu ambavyo havitaki kubwaga manyanga